Jinzi chembechembe umbile
za kijusu cha binadamu
zinavyo ongezeka na kufikia
trillioni 100 kwa mtu mzima,labda
ni jambo moja la kustaajabisha
zaidi kati ya maumbile duniani kote.
Wanautafiti wanafahamu kwamba nyingi
ya Kazi za kawaida
zinatotekelezwa na mwili wa binadamu
zinamarishwa wakati wa ujauzito-
mara mingi, muda mrefu
kabla ya kuzaliwa kwa mtoto.
Ukuaji wa kijusu kabla ya kuzaliwa
inaendelea kufahamika kuwa
ni wakati ya utaharishaji
ambapo
kijusu umbile
upata viungo vingi
na kuanza kujizoesha mbinu
tekelezi zitakazohitaji
maishani, mara baada ya kuzaliwa.
Chapter 2 Terminology
Ujauzito kwa binadamu , kwa kawaida
Udumu takribani wiki 38
kuanzia siku ya kwanza
Wa kutunga mimba
hadi kuzaliwa.
Katika wiki 8 za kwanza
ukuaji wa kijusu cha binadamu
huitwa embryoni(embryo)
na humaanisha "kukua ndani".
wakati huu, huitwao
wakati wa kiembryoni,
huhusishwa
na kuambwa
Kwa mifumo muhimu
ya viungo vya mwili.
Kuanzia wiki ya 8
hadi mwisho wa mimba
" binadamu umbile uitwa kijusu"
kinacho maanisha
"mwana ambaye hajazaliwa"
Katika wakati huu,
huitwao wakati wa ujusu,
mwili hukua zaidi na
Sehemu zake kuanza kufanya kazi.
umri wa kiembroyoni na ujusu
katika mpangilio huu
humaanisha wakati
tangu utungaji wa mimba.