Skip Navigation
The Endowment for Human Development
The Endowment for Human Development
Improving lifelong health one pregnancy at a time.
Donate Now Get Free Videos

Multilingual Illustrated DVD [Tutorial]

The Biology of Prenatal Development




BIOLOJIA YA UKUAJI WA MTOTO TUMBONI

.Swahili


National Geographic Society This program is distributed in the U.S. and Canada by National Geographic and EHD. [learn more]

Choose Language:
Download English PDF  Download Spanish PDF  Download French PDF  What is PDF?
 

Chapter 1   Introduction

Jinzi chembechembe umbile za kijusu cha binadamu zinavyo ongezeka na kufikia trillioni 100 kwa mtu mzima,labda ni jambo moja la kustaajabisha zaidi kati ya maumbile duniani kote.

Wanautafiti wanafahamu kwamba nyingi ya Kazi za kawaida zinatotekelezwa na mwili wa binadamu zinamarishwa wakati wa ujauzito- mara mingi, muda mrefu kabla ya kuzaliwa kwa mtoto.

Ukuaji wa kijusu kabla ya kuzaliwa inaendelea kufahamika kuwa ni wakati ya utaharishaji ambapo kijusu umbile upata viungo vingi na kuanza kujizoesha mbinu tekelezi zitakazohitaji maishani, mara baada ya kuzaliwa.

Chapter 2   Terminology

Ujauzito kwa binadamu , kwa kawaida Udumu takribani wiki 38 kuanzia siku ya kwanza Wa kutunga mimba hadi kuzaliwa.

Katika wiki 8 za kwanza ukuaji wa kijusu cha binadamu huitwa embryoni(embryo) na humaanisha "kukua ndani". wakati huu, huitwao wakati wa kiembryoni, huhusishwa na kuambwa Kwa mifumo muhimu ya viungo vya mwili.

Kuanzia wiki ya 8 hadi mwisho wa mimba " binadamu umbile uitwa kijusu" kinacho maanisha "mwana ambaye hajazaliwa" Katika wakati huu, huitwao wakati wa ujusu, mwili hukua zaidi na Sehemu zake kuanza kufanya kazi.

umri wa kiembroyoni na ujusu katika mpangilio huu humaanisha wakati tangu utungaji wa mimba.

The Embryonic Period (The First 8 Weeks)

Embryonic Development: The First 4 Weeks

Chapter 3   Fertilization

Kibiolojia "kukuwa kwa binadamu huanza mara baada ya kutunga mimba" wakati mwanamke na mwanaume wote hujumuisha chembechembe umbile Kupitia ujumuishaji chembechembe zao zalishi.

chembechembe zalishi za mwanamke kwa kawaida zaitwa "mayai" lakini kitaalamu huitwa usait(oocyte)

nazo, chembechembe zalishi za mwanaume kwa kawaida huitwa "mbegu ya kiume" Lakini kiutalamu Ni spamatozuni(spermatozoon).

kufuatia kuajiliwa kwa "yai" (usait) kutoka mfukoni mwake katika hali uitwabo kuona mwezi, yai huungana na mbeku ya kiume katika moja ya mifereji ya chupa, ambayo kwa kawaida huitwa mifereji ya mayai(fallopian).

mifereji ya chupa huunganisha mfuko wa mayai na chupa au chumba cha mtoto.

kitakajo umbika ni chembe embryoni huitwao kitaalamu zaigoti, Huumaanishao "kuchanganyikana au kuunganika"

Chapter 4   DNA, Cell Division, and Early Pregnancy Factor (EPF)

chembechembe halisi 46 ya zaigoti huwakilisha hatua ya kwanza ya kuumbika kwa chembechembe tambulishi ya upekee ya mwanadamu binafsi. Huu umbile mzingi hujikita Mwanana katika chembe huitwao kitaalamu DNA, (Chembe Tambulishi mzingi) huwa na maakizo ya ukuaji Ya mwili mzima

Chembe Tambulishi mzingi(DNA) hufanana na ngazi iliojibinda Huitwao hesi kuwili. pandio za ngazi huumbwa kwa chembe pacha . au miundo misingi huitwao "guanin" "Saitosini", "adenin", na "thimin"

Guanin huungana tu na saitosin nayo adenin na thimin. kila chembe ya binadamu huwa na takriban billioni 3 ya miundo misingi pacha .

DNA ya chembe kimoja huwa na habari muhimu mingi ambayo ukiwakilishwa na maneno andishi kwa kutaja tu erufi ya kwanza ya kila muundo misingi Itajukuwa zaidi ya ukurasa billioni moja na nusu(1.5)

ukifuatanishwa moja baada ya nyingine, DNA kwa chembe ya binadamu huwa na kipimo cha futi 3 1/3 au mita 1.

Iwapo tungenyoosha DNA zote katika chembe trillioni 100 mwilini mwa binadamu, itafika umbali zaidi ya maili billioni 63. umbali huu hufikia safari ya Dunia hadi Jua na kurudu mara 340.

Takribani masaa 24 hadi 30 Baada ya kutunga mamba, Zaigoti hukamilisha Kugawanyika kwa chembe msingi kwa mara ya kwanza kupitia mfanyiko huitwao "maitosis" Kila chembe hugawanyika vipande viwili, viwili vikawa nne na kuundelea.

Mapema ya masaa 24-30 baada ya kutunga mimba mimba hiyo unaweza kutibithishwa kwa kupima chembe misingi huitwao homoni hatua huitwa "mwanzo tambulishi wa mimba" katika damu ya mama.

Chapter 5   Early Stages (Morula and Blastocyst) and Stem Cells

Kufikia siku 3-4 Baada ya kutunga mimba chembechembe yanayo gawanyika ya embryoni huwa na umbo wa kibiringo na embryoni huu huitwa morula.

Kufikia siku 4-5, mwanya huumbika Katika hizi chembe nayo embryonic ukaitwa blastosaikot.

chembe ndani ya blastosaikot zaitwa chembe mrundiko ay chembe za ndani nayo huunda kichwa,mwili na sehemu muhimu zote ya binadamu huyu changa.

chembe katika ule mrundiko wa chembe za ndani yaitwa chembe msingi ya embryoni kwa sababu zina uwezo wa kuunda kila mojawapo wa zaidi ya chembe aina 200 zinazo jumuishwa katika mwili wa binadamu.

Chapter 6   1 to 1½ Weeks: Implantation and Human Chorionic Gonadotropin (hCG)

Baada ya kusafiri chini ya mfereji wa chupa embryoni changa ujipenyeza Katika ukuta wa ndani wa nyumba ya mtoto. mfanyiko huu huitwao upenyezaji, huanza siku 6 na humalisika siku 10-12 baada ya kutunga mimba.

chembe hizi za ebryoni changa huanza kuzalisha homoni huitwao "korionik", "gonadotropin" au "hCG" chembe ambazo hupatikanaKatika nyingi ya vipimo vya mwanzo wa mimba.

hcG huelekeza homoni ya mama kuzimamisha kuona mwezi kwa kawaida, na kuruhusu mimba kukua.

Chapter 7   The Placenta and Umbilical Cord

Kufuatia ule kujipenyeza , chembe katika kando kando ya blastosisti huzalisha sehemu moja wapo hutwao kizalio, ambayo hutumika kama kiunganishi kati ya mfumo-zungusha damu ya mama na ya embryoni.

Kizalio husafirisha hewa,chakula, homoni, na dawa ndani ya binadamu huyu changa; hutao uchafu wote; na kuzuia damu ya mama kuchanganyika na ya mtoto changa umbile.

Kizalio pia huzalisha homoni na hudumisha kiwango bora ya joto kwa mtoto juu kidigo kuliko ya mama.

Kizalio huwasiliana na mtoto changa anaye kua kupitia ukamba.

Uwezo wa hudumishaji wa maisha wa Kizalio ulinganishwa na vile vya vyumba vya wagonjwa mahututi upatinayo katika hospitali za kisasa.

Chapter 8   Nutrition and Protection

Kufikia wiki 1 chembe mrundiko ya ndani huunda rusu mbili huitwao hipoblast a nyingine, epiblast.

Hipoplasti huzalisha ule mfuko wa maji, ambayo ni sehemu moja wapo wa miundo kupitia kwayo chakula kutoka kwa mama hufukia mtoto.

chembe kutoka epiblast huunda mfuko mwepesi hufunikayo mtoto huitwao aminion, ambamo kwayo embroyoni na kijusu kilicho kua hulelewa hadi kuzalawi.

Chapter 9   2 to 4 Weeks: Germ Layers and Organ Formation

Takriban wiki 2 ½ epiblasti utakuwa umeunda chembe 3 maalum au miundo chipuzi rusu huitwao ectodam, endodam, na mesodam.

Ectodam huchipuza na kuwa sehemu misingi mingi ikiwamo ubongo, uti wa mgongo, michocheo, ngozi, vidole, na nywele.

Endodam huzalisha sehemu za ndani za mfumo wa kufutia pumzi na viungulia, na huzalisha sehemu kubwa ya viungo muhimu kama vile ini na "pankrisi".

Mesodam huunda moyo, figo, mifupa, ufupa mwororo, misuli, chembe za damu, na viungo vinginevyo.

Kufikia wiki ya 3 ubongo huunza kugawanyika katika sehemu tatu nyeti huitwao ubongo mbele, ubongo kati, Ubongo nyuma.

kuundwa kwa mfumo pumzi na kiungulia pia huanza wakati huu.

Wakati chembe za damu zinapo jitokeza katika ule mfuko maji mifereji ya damu huundwa kote kote embryoni, na sehemu anzishi ya moyo huanza kuchipuza.

Karibu mara moja, ule moyo unaanza kukua kwa haraka huunza kujikunja na sehemu zake muhimu huuanza kuumbika.

Moyo huunza kupiga wiki 3 na siku moja baada ya kutunga mimba.

Mfumo wa kuzungusha damu ni mfumo wa kwanza wa mwili, au kundi la viungo vinavyohusiana Kupata kuweza kufanya kazi .

Chapter 10   3 to 4 Weeks: The Folding of the Embryo

Kati ya wiki na wiki 4, mpangilio wa umbo wa mwili huchipuza huku ubongo, uti wa mgongo, na moyo wa kijusu huuanza kutambulika kwa urahisi Pamoja na ule mfuko wa maji.

Ukuaji wa haraka husabisha kukunjika kwa kijitoto ambayo kwa kawaida huwa umenyooka. Mfanyiko huu hujumuisha sehemu ya ule mfuko maji na kuwa sehemu ya kuta za kiungulia na kuunda kifua na sehemu za tumbo wa huyu binadamu chipuzi.

Embryonic Development: 4 to 6 Weeks

Chapter 11   4 Weeks: Amniotic Fluid

Kufikia wiki 4 amioni nyepesi-wazi huunza kuzunguka kijitoto na imo katika mfuko maji. Huu maji salama huutwao maji ya amioni huumpa kijitoto ulinzi kutokana na majeruhi.

Chapter 12   The Heart in Action

Moyo kwa kawaida hupiga Mara 113 kwa dakika.

Kumbuka kuwa Moyo ubadalisha rangi damu unapoingia na kuondoka kwa kila mpigo.

Moyo hupiga Takriban mara millioni 54 kabla ya kuzaliwa na zaidi ya millioni 3.2 Katika maisha Ya kufikia miaka 80.

Chapter 13   Brain Growth

Ukuaji wa haraka wa ubongo hudhihirishwa na mabadiliko katika umbo wa sehemu ya mbele ya ubongo ubongo-kati Na ubongo-nyuma.

Chapter 14   Limb Buds

Maungo ya juu unaanza kuumbika Kwa kujitokeza Kwa mizizi yake kufikia wiki 4

Ngozi wakati huu huwa wazi na nyepesi Kwa sababu upana wake ni wa chembe moja tu.

Wakati upana wa ngozi uanapozidi kuimarika, uwazi huu utafungika, kumaanisha kwamba tutaweza kuona viungo vya ndani Vikikua kwa karibu muda wa mwezi moja tu.