Takriban wiki 2 ½
epiblasti utakuwa umeunda
chembe 3 maalum
au miundo chipuzi rusu
huitwao ectodam,
endodam,
na mesodam.
Ectodam huchipuza
na kuwa sehemu misingi mingi
ikiwamo ubongo,
uti wa mgongo,
michocheo,
ngozi,
vidole,
na nywele.
Endodam huzalisha sehemu za ndani
za mfumo wa kufutia pumzi
na viungulia,
na huzalisha sehemu kubwa
ya viungo muhimu
kama vile ini
na "pankrisi".
Mesodam huunda moyo,
figo,
mifupa,
ufupa mwororo,
misuli,
chembe za damu,
na viungo vinginevyo.