Kati ya wiki 4 na 5,
ubongo uendelea
kukua kwa haraka
na kujigawa
katika sehemu tano mahuzusi(ada).
Kichwa hujumuisha karibu 1/3
wa ujumla wa sehemu za kijitoto.
kizio wa ubongo hujitokeza,
na pole pole pole ikakua na kuwa
sehemu kubwa zaidi ya ubongo
Kazi zitakazotekelezwa
na ubongo,
ni kama vile, fikira, kujifunza,
fikira,kuongea,kuona,
kuzikia, mienendo ya viungo
na kutatua mambo.