Kufukia wiki 6
nayo damu uanza kuumbwa
katika maini
ambamo chembe ziitwazo lymphosit
kwa wakati huu upo.
Hivi aina ya chembe mweupe wa damu
ni muhimu
katika huumbaji wa kinga mwilini.
Chapter 22 The Diaphragm and Intestines
Sehemu ya kifua
misulu muhimu
ya kufutia pumzi,
huumbika zaidi kufikia wiki 6.
Sehemu ya matumbo
huanza kuonekana
ukijielekeza kwa ukamba.
Mfanyiko huu wa kawaida
huuitwa phisiolojiki hanisioni
na husababisha kuumbika kwa sehemu
zingine karibu na tumbo.