Mifupa, viunganishi,
misulu,michocheo,
na mifereji ya damu
katika maungo ya juu na chini
hufanana na ya mtu mzima.
Kufikia wiki ya 8,
sehemu ya nje ya ngozi
ujikawa katika vipande rusu
na uwazi wake huanza kutoweka.
Ushi hukua huku nywele
huanza kuonekana sehemu ya mdomo.